Kitu gani kiliikumba hii familia ya kifahari pale Magomeni

Ngoja wakazi wa magomeni waje...wengine tupo mikoani.
 
sikutaka kuongelea upande huo,maana sijaziona hizo biashara kwa dakika tatu nilizojibanza chooni.Ila wenyewe ndio wanajua wanauza nini hasa mbali na pombe chafu🙄🙄🙄
Nimekuelewa! Kuandika kitu kama hicho unatakiwa uwe na ushahidi kwani unaweza kumrushia mtu moto, akaungua, kumbe hana kosa lolote. Umekuwa muungwana kweli.
 
Kuna kitu haujakiweka sawa katika stori yako hii.

Popote pale pauzwapo pombe hasa hayo mataps huwa kuna ukarimu wa kuzugia wateja.

Sasa hapo pa kufokeana na kushitukiana yaonesha haukupachunguza vizuri, yawezekana pakawa na biashara nyingine haramu nyuma ya pazia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini mambo ni mengi mzee nyumba ya hivyo tena magomeni mengi hufanyika, wale watu walivo kuona kutokana na mwonekano wako waliona wewe sio mwenzao na wakashusha pumzi kukuchorea ramani labda usiwe shushu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…