2v1
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 247
- 358
Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu.
Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi.
Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo rahisi ata kidogo, kwa sababu nilisha jaribu sana ila nikashindwa.
Wana jamvi elezeni pia visa vyenu wenda sababu zenu zikawa msaada kwangu katika kuendelea kuishi bila hii tabia.