Sizani kama nitatumia mjani, maana hata dukani kwangu nimegoma kuuza sigara na imenifanya nipoteze baadhi ya wateja.Mimi nimeacha nilikuwa naangalia X mpaka namaliza Gb3 kwa siku.
Ila nilipoanza kuvuta mjani asee umenisaidia sana hata sipendi kushika simu mara kwa mara....
🌿jaribu hii kitu ...
Kwanini kwani ukiuza sigara unapata changamoto ganiSizani kama nitatumia mjani, maana hata dukani kwangu nimegoma kuuza sigara na imenifanya nipoteze baadhi ya wateja.
Pole mkuu mjani utakusaidia pia kuondoa hiyo hali nakukaribisha kwenye chama kwa moyo mkunjuvu ..Ata sijui, nikiona kitu sigara au pombe nafsi yangu huwa najisikia vibaya.