Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita kushotoTuliozaliwa dar comment zetu tunaweka wapi
Asee usinikumbushe, nikiwa darasa la pili tuliamia mkoani, kufika kule watoto walikuwa wananizunguka kusikiliza kiswahili changu, kila mtu anashangaa unavyoongea.Dah nyie acheni wakuu Dar ya zamani ilikuwa na hadhi kwa watu wa mkoa. Nilikuwa nikirudi watu wanataka niwasimlie stori za akina Maxi na Zembwela halafu na kiswahili changu cha Kidaslamu haha nilikuwa nawakalisha.
Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread) - JamiiForumsTuliozaliwa dar comment zetu tunaweka wapi
tembea uone! hapa darMkuu uliona wapi hii
Dar ya zamani ilikuwa na hadhi sana siku hizi mtu anaijua Dar kupitia instagram, ukienda mkoa hawana shobo tena na ww.Asee usinikumbushe, nikiwa darasa la pili tuliamia mkoani, kufika kule watoto walikuwa wananizunguka kusikiliza kiswahili changu, kila mtu anashangaa unavyoongea.
Hehehe Bandari pale NDONDO CUP kuna wanawake wanashangilia kama Wabrazil.