jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Salaam wakuu
Binafsi mpira nilikua nacheza tuu na wakati huo sikujua kua mpira ni kazi na unawalipa watu..kwahiyo sikuupa muda wala nini...
Mtaani Kuna watu wengi Sana waliokua na ndoto kua mpira utakuja kuwatoa siku moja Ila mwisho wa siku wakaachana na mpira wenyewe kutokana na changamoto mbali mbali.
Kitu gani kilikukwamisha kutimiza ndoto zako za kutoka kimpira?