Kitu gani kilikwamisha ndoto zako za kutoka kimpira?

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
507
Salaam wakuu

Binafsi mpira nilikua nacheza tuu na wakati huo sikujua kua mpira ni kazi na unawalipa watu..kwahiyo sikuupa muda wala nini...

Mtaani Kuna watu wengi Sana waliokua na ndoto kua mpira utakuja kuwatoa siku moja Ila mwisho wa siku wakaachana na mpira wenyewe kutokana na changamoto mbali mbali.

Kitu gani kilikukwamisha kutimiza ndoto zako za kutoka kimpira?
 
Sera za nchi hii katika suala la michezo zimeua kipaji changu cha kucheza tennis, In Shaa Allah nitajitahidi wanangu watimize ndoto yangu.
 
Vurugu,mnacheza mechi mbili au tatu mechi ya mwisho mnatembezeana mikono.

Kuna ligi moja ya ng'ombe timu zikacheza mpaka mwisho,siku ya fainali mpira umeisha mshindi badala ya kuletewa ng'ombe wakaleta mbuzi tena kakonda vibaya mno,hapo uwanjani palivurugika kwa mawe,marungu na mitamo isiyo na idadi,nikalala sero Obey tangia hapo nikapigwa marufuku na dingi kusakata kabumbu.
 
Duh pole mkuu..
 
Hivi hizo tabia za vurugu kuanza baada ya mpira kuisha bado zinaendeleaa uko dsm au siku hizi watu wamekuwa??????
 
Siku hizi akuna hayo mambo,watu washapevuka mpira sio virugu,siku hizi mpira wakitaa unakuta timu ina vifaa vyote vya mazoezi uwanjani koni,bips,mipira ya kutosha,hata wahuni wa kitaa kwenye soka pia wamepungua.
 
Back
Top Bottom