jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Duh pole mkuu..Vurugu,mnacheza mechi mbili au tatu mechi ya mwisho mnatembezeana mikono.
Kuna ligi moja ya ng'ombe timu zikacheza mpaka mwisho,siku ya fainali mpira umeisha mshindi badala ya kuletewa ng'ombe wakaleta mbuzi tena kakonda vibaya mno,hapo uwanjani palivurugika kwa mawe,marungu na mitamo isiyo na idadi,nikalala sero Obey tangia hapo nikapigwa marufuku na dingi kusakata kabumbu.
Hivi hizo tabia za vurugu kuanza baada ya mpira kuisha bado zinaendeleaa uko dsm au siku hizi watu wamekuwa??????Vurugu,mnacheza mechi mbili au tatu mechi ya mwisho mnatembezeana mikono.
Kuna ligi moja ya ng'ombe timu zikacheza mpaka mwisho,siku ya fainali mpira umeisha mshindi badala ya kuletewa ng'ombe wakaleta mbuzi tena kakonda vibaya mno,hapo uwanjani palivurugika kwa mawe,marungu na mitamo isiyo na idadi,nikalala sero Obey tangia hapo nikapigwa marufuku na dingi kusakata kabumbu.
Siku hizi akuna hayo mambo,watu washapevuka mpira sio virugu,siku hizi mpira wakitaa unakuta timu ina vifaa vyote vya mazoezi uwanjani koni,bips,mipira ya kutosha,hata wahuni wa kitaa kwenye soka pia wamepungua.Hivi hizo tabia za vurugu kuanza baada ya mpira kuisha bado zinaendeleaa uko dsm au siku hizi watu wamekuwa??????