Kitu gani kimemkuta Vanessa Mdee?

Kitu gani kimemkuta Vanessa Mdee?

Ukiniambia nikutajie nyimbo tano za vanesa naweza nisizijue ndo ujue kwamba hakuna maajabu aliyoyafanya kilichokuwa kinamfanya atambulike ni kuwa na jux
 
JF Expert miaka 8 mkuu...hahaha..lini utaenda Platinum?
Hahaha! Tukuchangie elfu moja moja tu aisee uwe donator wa JF utaipata kirahiiiisi.
Lakini kuna jamaa mmoja wa kuitwa Mshana yule hela hana aliipataje?
 
Yupo busy siku hizi nyapu yake inapigwa pipe america na anaiosha kwa maji ya america ataimba wakiachana na rutumi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe bila Kiki uwezi kuwa muimbaji mzuri kibongobongo. Tanzania hii ukimtoa Jaydee hakuna mwanamziki mwingine wa like kumzidi Maua Sama.
 
Msanii mwenye kipaji cha ukweli Tanzania ata akiambiwa aimbe acapella unaona kabisa huyu ana vocal range ni Ruby peke yake.

Hana tu management nzuri ya kumpa direction na tunzi nzuri za kwenda na kipaji chake. Hao wengine kama akina Vanessa wana package tu ambazo unaweza kuzi market kuuzia nyimbo but not natural talent.
 
Back
Top Bottom