Mimi nadhani kabla sijaandika sana jaribu kuitafakari signature yangu kisha nitarudi na maelezo kidogo tu yanayoendana na hiyo slogan chini.
Angalia signature yako vizuri mzee.Maisha sio tu ku'take risk' bali ni ku 'take' CALCULATED RISK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani kabla sijaandika sana jaribu kuitafakari signature yangu kisha nitarudi na maelezo kidogo tu yanayoendana na hiyo slogan chini.
Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri.
Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za hawa wasomi kuwa watu wa vitabu,data,laptop,kuendesha semina n.k lakini wakawa dhaifu inapofika suala la kutajirika,kuwa na mamlaka na kujiamini.
Mfano ni fundi viatu wa miaka ya sitini Said Salim Bakhressa maarufu kwa ice cream na bidhaa tofauti hapa nchini.AU hata Billy Gates..aliyekimbia shule akiwa grade 10...na sasa ni mmoja ya matajiri wakubwa duniani.List yao ni ndefu...kina Ford..n.k.
Je ni kitu gani cha ziada ambacho wasiokuwa na elimu ya juu...walichonacho hadi wakafanikiwa katika malengo yao,ambacho hakipatikani kwa wenye Phd..n.k?
Natafuta ni kitu gani kilichomfanya mtu kama Henry Ford wa kwanza kufanikiwa katika kutengeneza gari na hadi kufikia karne hii magari ya Ford yakawa bado yapo
Udadisi mkuu....
.Jamii imtambue isimtambue kama kafanikiwa au la...yale magari yake ndiyo yanayodhirisha kufaulu kwake katika maisha yake na ndiyo yanayomfanya awe successiful na kutambulika baadaye kwa jamii.Achievement yake ilikuja kutambulika na jamii baadaya ya yeye binafsi ku triumph.
Kuweka malengo ya kupata ajira ya mshahara wa laki mbili,hayo hayakuwa malengo halisi bali simple wish.Lengo halisi ni kuwa na burning desire ili kupata mafanikioa in a life time si temporary wish kama hiyo ya mshahara.
Hilo la Nyerere kuwa successiful man..mimi silitambui.Success inaanzia nyumbani kwenye level ya family.Cheki familia yake utajua naotaka kusema nini.Nyerere as a man was never successiful.Alitaka kujenga Taifa la kiujamaa...where is that?Kama Rais hakuwa successiful kabisa!Mimi nataka kujua kwa nini Professor Machunda hakujenga hata kibanda...cha maana huko Ukerewe lakini mtu kama Mwita Gachuma ni tajiri mkubwa.Education ya Machunda ilikuwa na maana gani?
[/B][/COLOR]
Hivi kwani kusoma sana ndio inamaanisha pia kufanikiwa sana kimaisha?
Je kuwa na elimu ya juu kama PhD ndio kuelimika?