Kitu gani kinatafuna thread jamvini

Kitu gani kinatafuna thread jamvini

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Samahani wakuu hivi humu jamvini kuna mchwa wanakula thread,unaweka thread dakika 5 nyingi inapotea na haionekani hata utafute kwa darubini na hadubini yaani inapotea milele.
 
😂 😂 😂 😂 😂 hao wanaitwa m+o+d+s

subiri si mda na hii itatafunwa
 
Back
Top Bottom