Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
 
Sababu ya msingi kubwa ni kutaka kuishi ili jamii ikuone una hiki na kile, na ndiyo sababu ya watu wengi kusema maisha magumu, maisha hua siyo magumu iwapo utaishi kulingana na ulivyo wewe pasi kutamani mafanikio ya wengine.

Kuibabaisha jamii inayokuzunguka kimafanikio ndo shida inapoanzia
 
Back
Top Bottom