Sababu ya msingi kubwa ni kutaka kuishi ili jamii ikuone una hiki na kile, na ndiyo sababu ya watu wengi kusema maisha magumu, maisha hua siyo magumu iwapo utaishi kulingana na ulivyo wewe pasi kutamani mafanikio ya wengine.
Kuibabaisha jamii inayokuzunguka kimafanikio ndo shida inapoanzia