Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji.
Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .
Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.