Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji.

Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .

Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.
Wakili kwenda faragha na shahidi ni kosa pia..maana kule wanaenda kufanya kosa kisheria (coaching witness!!) Ambayo hairuhusiwi..maana inasababisha miscarriage of justice [emoji109]
Kama wanafanya hivyo ni wahuni na wapi kinyume na sheria
 
Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji.

Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .

Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.
Atakataa tu kuendelea kama maswali yanamuondolea utu!
 
Back
Top Bottom