nikiidai ! Je waweza kuithibitishia mahakama!nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.
Umewahi kuhudhuria mapambano ya ngumi?Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa sirikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .
Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.
... very funny indeed! Je, haikupata kuandikwa kwenye Chuo cha Manabii kwamba waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu bali wenye haki ni jasiri kama simba? Maneno haya yanatimia machoni petu leo!Tulizoea mahakamani Mtuhumiwa ndiye anatetemeka na kujawa na hofu kubwa.
This time around imekuwa tofauti.
... the best he can do ni kujitoa kama shahidi. Kwani kutoa ushahidi ni lazima?Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa sirikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .
Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.
🤣🤣🤣🤣imeandikwa... very funny indeed! Je, haikupata kuandikwa kwenye Chuo cha Manabii kwamba waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu bali wenye haki ni jasiri kama simba? Maneno haya yanatimia machoni petu leo!
sio lazima ndio maana unaombwa kuapa.... the best he can do ni kujitoa kama shahidi. Kwani kutoa ushahidi ni lazima?
Niko sehemu mbaya nitakuhibuKwani wewe ndio shahidi wa12au13🤔.je unapanga kuwakata mawakili wapi?
Nawachubiri🤔.Ngoja waje kukupa muongozo...
Sasa mtu anakutukania wazazi wako, au familia yako ukimuona tu unazimia sasa ushahidi nita present vipi , walete wakili mwingine huyo simtaki, mbona huwa watu wanamkata Judge.Kwani wewe ndio shahidi wa12au13🤔.je unapanga kuwakata mawakili wapi?
Sasa hapo mshindi si anakuwz kesha julikanaUmewahi kuhudhuria mapambano ya ngumi?
Swilla alirushiwa taulo.
... sasa kama Swila ambaye ndiye msanifu mkuu wa mchezo mzima anarushiwa taulo walifungua kesi ya nini? Ndo maana akina comte, zandrano, et. al. siwaoni kabisa kwenye huu uzi! Ingekuwa ni upande wa utetezi yametokea hayo, tusingelala leo!Umewahi kuhudhuria mapambano ya ngumi?
Swilla alirushiwa taulo.
Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyo
Mkuu hivi kuna sababu gani ya shahidi kujiuguza wakati alikuwa na nafasi ya kukataa au kukubali kuja kutoa ushahidi? Huyu kakubali. na watu wanaona kuwa kaogopa maswali! Tuseme wako sawa- matokeo yake ni yapi?Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji.
Tukiacha hiyo pembeni na kuangalia matamanio ya Mashahidi hao ni cross examination iwe rahisi kwao , hivyo nimatamanip yao walirudi mahakamani n.k .
Sasa ningependa kujua mazingira yanayo mwezesha shahidi kukata kuendelea kuwa cross examined na wakili fulani kwa mfano nikiidai huyo wakili kanitukania wazazi wangu au familia yangu.