Kitu gani kizuri ulifanyiwa na mpenzi wako tangu uwe nae katika mahusiano?

muneera75

Senior Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
190
Reaction score
318
Hey guys..Lets share our happy moments
tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako?
Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share

#chitchat#Mood
 
Kunifumania na another girl kisha kunisamehe nipo nae mpka leo.
 
Focus kwenye masomo binti. Vinginevyo utapoteza mapenzi na masomo (Mbaraka Mwinshehe).
Hey guys..Lets share our happy moments
tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako?
Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share

#chitchat#Mood
 
Hey guys..Lets share our happy moments
tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako?
Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share

#chitchat#Mood
wewe umeshafanyiwa nini?
 
Ameleta beki 3 Home! Aisee nimefùrahia sana,najua wife wangu atapata muda wa kupumzika.
 
Alinidanganya ananipenda kumbe hanipendi...alafu akaja kunitenda.... Yani nilifurahi sana.... Just imagine ningekuwa naye mpaka leo angenizibia pengo la kumpata huyu mke mwema nilie nae sahivi...
 
Hongera kaka
 
Alinipikia mdudu aka kitibaridi aka noa aka kitimoto na ugari. Na vingine pia.
 
Back
Top Bottom