witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaahaaaa....very trueAjiangalie, mademu hawatoki sayari zingine, tupo nao humu humu mitandaoni, na tena sikuhizi nyuzi za huku zinaibwa kwenda insta basi ni rahisi watu wengi kuona, sasa kabla hajaweka Kojo kwenye sminoff ya mdada atawekewa filter ya cigara na ugolo vijiko viwili ili azime yeye na kuamkia hospitalini.