Kitu gani ukichanganya kwenye pombe mtu analewa haraka sana?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka kipande cha limao
 
Duuh. Kweli dunia ina mambo.

Na kwa hali hiyo kabisa waeza kuta mtu anakaa mtaani na kujisifia kwamba kamkula huyo dada. Aiseee.
Samahani hivi na nyie ke huwa mnajisifiaga kuliwa? I
N.b
Si lazima iwe wewe hapo
 
Wapo wanaojisifia ila sio wote na wa aina hiyo ujue ni yule kampenda mwanaume na mwanaume hana time naye basi atafanya juu chini aliw* ili apate kuja kusifia alichokitarajia.
Anhaa nilikuwa sijui hicho kitu [emoji120]
 
Mkuu unaonekana upo deep sana kwenye uelewa wa haya mambo
 
Ugolo kidogo sana, ukieka mwingi ana eza poteza uhai kabisa so kuwa mwangalifu
 
Hongera zako naona alikupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…