Kitu gani ukichanganya kwenye pombe mtu analewa haraka sana?

Mimi nilishachanganyiwa ugoro ila juhudi zake ziligonga mwamba nilimpeleka kwenye bar ambayo hata sisimizi zinanijua.kipigo alichopata yule kaka sidhani kama atanisahau hadi kufa kwake
Duh.. nimejifunza kitu hapo
 
Mkuu alipajuaje kwako wakati umezima?hii kama ni chai basi ya maziwa waliyozidisha maji halafu inaonekana kama maji ya waliyooshea mchele
 
Demu akishazima tu anapoteza sifa za kuliwa hata niwe na genye kiasi gani nitamuacha.
 
Mimi nilishachanganyiwa ugoro ila juhudi zake ziligonga mwamba nilimpeleka kwenye bar ambayo hata sisimizi zinanijua.kipigo alichopata yule kaka sidhani kama atanisahau hadi kufa kwake
Pole aisee...
 
Kuna sheikh mmoja pale Kinondoni enzi hizo alikuwa akinywa bia nne anakwenda kuvuta bangi kukata stimu, eti anasema akivuta bangi ulevi wote unaisha anabaki anabembea tu huku akiongea peke yake, akiulizwa kulikoni anasema anasali na ndiyo chanzo cha yey kuitwa Sheikh Kuswali..
 
kule malawi kuna ki pombe kinaitwa ICE na shooter kama kitoko kwa tz na kule uganda kuna kipombe kinaitwa ambiance yaaan ukipata kuchanganya na bingwa vibe lake sio la kitoto
 
Vijiko viwili tena vya chakula😂😁
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…