Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu kwema,
Kuna vitu mbalimbali ambavyo vinatambulisha maeneo fulani bila hata ya kuangalia location ya mahali ulipo. Tuvitu vitu ambavyo ni spesho kwa kwenye mji huo.
Ntaanza mimi;
- Vibanda vya chips - Kuna wakati nilitembelea kwa baadhi ya majirani zetu nilishangaa kuona watu hawajui chips mayai wala vibanda vya chips hakuna😅😅, ukiona hivi vibanda na vile vigenge vya nyanya, vitunguu unajua hapa umeingia kwa wabongo.
- Mabango ya mama anaupiga mwingi, mama anatosha, mama mwenye huruma

sura yake imejaa barabarani utafikiri ni huduma inatangazwa kumbe chawa wanafanya kazi yao.
Kwenu wakuu, ukiona nini unajua nimefika kwa wabongo penye uchawa ulipokomaa?
Kuna vitu mbalimbali ambavyo vinatambulisha maeneo fulani bila hata ya kuangalia location ya mahali ulipo. Tuvitu vitu ambavyo ni spesho kwa kwenye mji huo.
Ntaanza mimi;
- Vibanda vya chips - Kuna wakati nilitembelea kwa baadhi ya majirani zetu nilishangaa kuona watu hawajui chips mayai wala vibanda vya chips hakuna😅😅, ukiona hivi vibanda na vile vigenge vya nyanya, vitunguu unajua hapa umeingia kwa wabongo.
- Mabango ya mama anaupiga mwingi, mama anatosha, mama mwenye huruma

sura yake imejaa barabarani utafikiri ni huduma inatangazwa kumbe chawa wanafanya kazi yao.Kwenu wakuu, ukiona nini unajua nimefika kwa wabongo penye uchawa ulipokomaa?