Kitu gani ukikiona unajua sasa umeingia Tanzania?

Kitu gani ukikiona unajua sasa umeingia Tanzania?

Ukiona kibao kimeandikwa "huruhusiwi kufanya biashara hapa"then mtu kageuza nguzo hicho kibao Katia mwamvuli anauza vitu vyake kiroho safi Tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna siku nilikwenda ofisi za tanesco pale tabata liwiti umeme ulikuwa umekatika.
 
Kwenye usafiri wa umma wanawake wengi wananuka shahawa inankata stimu Sana 🤣🤣🤣
 
Ukiona upo na gari Yako unasafiri Kuna wale watu wana kaa vituoni kusimamisha simamisha magari binafsi kudandia juu kwaju utajua tuu Hii ni bongo
 
Back
Top Bottom