Kitu gani ulichonacho kilichokuhuzunisha zaidi maishani mwako?

Jamaa alijua kuwanyoosha wamarekani mamaee😀😀😀
Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?!

By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano
 
Ile ni vita tu kama uonavyo asaivi tu huko Ukraine
Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?!

By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano
Sasa marekani ni ndio anavoua Waafrika huku mbona hujawahi kununa wacha nao wafe
 
Back
Top Bottom