The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,113 Reaction score 6,251 Mar 3, 2023 Thread starter #21 Raia mpya said: Jamaa alijua kuwanyoosha wamarekani mamaee๐๐๐ Click to expand... Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano
Raia mpya said: Jamaa alijua kuwanyoosha wamarekani mamaee๐๐๐ Click to expand... Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Mar 3, 2023 #22 Raia mpya said: Jamaa alijua kuwanyoosha wamarekani mamaee๐๐๐ Click to expand... Hivi walimkataga yule jamaa kweLi maana kitengo chake n cha kuchinja tu aisee
Raia mpya said: Jamaa alijua kuwanyoosha wamarekani mamaee๐๐๐ Click to expand... Hivi walimkataga yule jamaa kweLi maana kitengo chake n cha kuchinja tu aisee
Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 673 Reaction score 1,915 Mar 3, 2023 #23 fundi bishoo said: Hivi walimkataga yule jamaa kweLi maana kitengo chake n cha kuchinja tu aisee Click to expand... Walimuua walimlipua
fundi bishoo said: Hivi walimkataga yule jamaa kweLi maana kitengo chake n cha kuchinja tu aisee Click to expand... Walimuua walimlipua
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Mar 3, 2023 #24 Raia mpya said: Walimuua walimlipua Click to expand... Sema aliondoka na vchwa vngi saNa yule
Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 673 Reaction score 1,915 Mar 3, 2023 #25 The unpaid Seller said: Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano Click to expand... Ile ni vita tu kama uonavyo asaivi tu huko Ukraine The unpaid Seller said: Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano Click to expand... Sasa marekani ni ndio anavoua Waafrika huku mbona hujawahi kununa wacha nao wafe
The unpaid Seller said: Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano Click to expand... Ile ni vita tu kama uonavyo asaivi tu huko Ukraine The unpaid Seller said: Mkuu na unaona fahari kwamba watu waliuliwa kikatili ?! By the way sio wote walikua waMarekani, Mtalii nadhani alikua muItaliano Click to expand... Sasa marekani ni ndio anavoua Waafrika huku mbona hujawahi kununa wacha nao wafe
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Mar 3, 2023 #26 wajingawatu said: Lissu kupigwa shaba 30 kwa maagizo ya jiwe Click to expand... Upuuzi wa siasa za kibongo
wajingawatu said: Lissu kupigwa shaba 30 kwa maagizo ya jiwe Click to expand... Upuuzi wa siasa za kibongo