Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Wahenga walisema "Usitukane mamba kabla hujauvuka mto" ishawahi kukutokea ukafikiri jambo ni rahisi ila ulivyolijaribu ukaona ugumu wake na ukahangaika nalo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa na wewe unabet?Kutongoza
#first time unaweza tamani kujicheka
Ku-win mkeka
#kanji atengwe
Kuhack mtu mwingine
#ni process ngumu balaa
Kuishi bila kutegemea watu #tunategemeana
Siyo kila siku buana!Mshangazi wa moto,,,, kila siku unaanzisha uzi?
ugwadu unamsumbuaMshangazi wa moto,,,, kila siku unaanzisha uzi?
nililiwaga elfu1 yangu kitambo nikatoka ndukiMpwa na wewe unabet?
ila waja mna tabu 😂 😂 😂ugwadu unamsumbua
ufanyie kazi huo ugwaduIa waja mna tabu 😂 😂 😂
Peke yangu siwezi mzee mwenzangu 😂ufanyie kazi huo ugwadu
Pole, kweli si rahisi kama inavyoonekanaKushona nguo aisee.. nilivyokua nawaona mafundi cherehani wanafanya kazi yao nikawa nachukulia poa, siku moja nikajaribu kupunguza upana wa shati. Nilitoa kituko