Kitu gani ulifikiri ni rahisi lakini baada ya kukijaribu ukaona ulikosea kukichukulia poa?

Kitu gani ulifikiri ni rahisi lakini baada ya kukijaribu ukaona ulikosea kukichukulia poa?

Mwanzo nilidhani naweza kuishi bila ndugu kwavile tu walikuwa wakinikosoa sana lkn bado nawahitaji mpaka leo wananisaidia sana kwenye changamoto nyingi pia
 
Kuishi bila kazi Kwa mda wa mwezi mmoja

Mwanzo saving zilinipa kiburi ila mda ulifika nikaona hapa ntakosa hata hela ya Gillette ninyoe ndevu.
 
Back
Top Bottom