Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mpwa na wewe unabet?Kutongoza
#first time unaweza tamani kujicheka
Ku-win mkeka
#kanji atengwe
Kuhack mtu mwingine
#ni process ngumu balaa
Kuishi bila kutegemea watu #tunategemeana
Siyo kila siku buana!Mshangazi wa moto,,,, kila siku unaanzisha uzi?
ugwadu unamsumbuaMshangazi wa moto,,,, kila siku unaanzisha uzi?
nililiwaga elfu1 yangu kitambo nikatoka ndukiMpwa na wewe unabet?
ila waja mna tabu π π πugwadu unamsumbua
ufanyie kazi huo ugwaduIa waja mna tabu π π π
Peke yangu siwezi mzee mwenzangu πufanyie kazi huo ugwadu
Pole, kweli si rahisi kama inavyoonekanaKushona nguo aisee.. nilivyokua nawaona mafundi cherehani wanafanya kazi yao nikawa nachukulia poa, siku moja nikajaribu kupunguza upana wa shati. Nilitoa kituko