Kitu gani ulifikiri ni rahisi lakini baada ya kukijaribu ukaona ulikosea kukichukulia poa?

Ku date na mishangazi
Nilijua kuacha hi kitu simple ila nilipoanza kujaribu kuacha ndio nikajiona kumbe mimi sio lolote sio chochote kwa hawa viumbe

Kutamani wamama
Mwanzoni nilikua naona vijana wanaotamani wamama ni hawajiheshimu ila sasa hvi uyo kijana ni mimi na nimejaribu kuacha ila nashindwa yaani kila navojitoa wapi

##mwezi mtukufu huu tuswali sana
 
Wewe, si ulisema kina kibinti kimekuteka, uko inlove. Imekuaje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…