Kitu gani ulimfanyia Ex wako mpaka sasa ukikumbuka unajutia kwanini ulimfanyia

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
FB_IMG_1731518637659.jpg
 
Alikuwa msumbufu sana asee kila nikiwa na upwiru na nikimwita haji au ana kubali lakini hatokei.

Nikahama eneo hilo umbali wa masaa2 hadi3 kwa basi. siku moja akasema anakuja jioni kwenye saa12 ama saa1 atakuwa kafika nikamwambia poa hapo nauli ikuwa buku4 tu na sikutuma yake.

Nikiwa ktk maandalizi ya kuwekasawa geto mara simu ya toto lakitusi ikaingia kucheki anauliza uko wapi leo nakuja kupajua kwako!

Bahati iliyojee! huyu demu ni mpya na nilikuwa shaomba game kama siku5 hivi nyuma hapohapo kitaa. nikamwambia aje ilikuwa midaa ya 10 jioni hivi akafika ikabidi anze kupika mboga ilikuwepo. humo na mle ninaye game ikakolea huyu nae yupo njiani anakuja. Kwenye saa1 kafika huku mtusi wangu yumo mageton.

Ikabidi nicheki na boda ampokee then ampeleke kwa mdada fln hivi ana saloon ya kike.

by saa3 huyu akatoka magetoni akapanda boda nikaweka mazingira sawa unyunyu kama wote. nikamwambia boda amlete. sikumpiga machine maana umbo la mnywaranda yule ndo lilibakia kichwani asa yeye mvuto hakuwa nao sana kama mtusi.

Nikawa na mlaumu tu namwambia wewe hadi upende wewe ndo uje? baada ya kugoma kabisa kumpiga pipe akatoka nje nikamwangalia tu badae akarudi tukalala asubh akaaga akaondoka nikampa 30k

ila nililaaniwa sana msg zaidi 17 naambiwa maneno ya laana tu aiseee hadi nilijutia
 
😂😂
 
Back
Top Bottom