Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mm n mpare wa mjini hvy sina ubahili huoulikuabahili wapare mnajulikana asili yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm n mpare wa mjini hvy sina ubahili huoulikuabahili wapare mnajulikana asili yenu.
utambeMm n mpare wa mjini hvy sina ubahili huo
usitutafute manenoMapenz ya kipare ndio yale ya kumtumia picha ya hela alafu unamwambia akatoe atumie😂
😅😅Nilikuwa nampa hela mbwa yule😂aah kumbavu zangu mbwa mimi😂😂😂😂
Prove it 😄😅😅
Nilimuambia MFALME WETU siyo wanawake wote ni bakhili kama manzi yake akawa ananibishia, sisi tukipenda tunatoa Pesa bila hata kuhoji na maisha yanaenda...!!
unataka muamala rafiki yangu..?😅Prove it 😄
hapanaunataka muamala rafiki yangu..?😅
Hajapendwa tu vizurii😅😅
Nilimuambia MFALME WETU siyo wanawake wote ni bakhili kama manzi yake akawa ananibishia, sisi tukipenda tunatoa Pesa bila hata kuhoji na maisha yanaenda...!!
Aweeh, ikitokea mmetoa zawadi mfano ya Boxer basi mnaongea mwaka mzima 🤣😅😅
Nilimuambia MFALME WETU siyo wanawake wote ni bakhili kama manzi yake akawa ananibishia, sisi tukipenda tunatoa Pesa bila hata kuhoji na maisha yanaenda...!!
ThinyelaniNilimpa mapenzi ya kipare na akaniacha 😭 aisee yule manzi atekwe alipo.
😅😅Hajapendwa tu vizurii
Ila sasa nimejifunza ubahili sis😂
Huyo mtutsi bado upo naye!?Alikuwa msumbufu sana asee kila nikiwa na upwiru na nikimwita haji au ana kubali lakini hatokei.
Nikahama eneo hilo umbali wa masaa2 hadi3 kwa basi. siku moja akasema anakuja jioni kwenye saa12 ama saa1 atakuwa kafika nikamwambia poa hapo nauli ikuwa buku4 tu na sikutuma yake.
Nikiwa ktk maandalizi ya kuwekasawa geto mara simu ya toto lakitusi ikaingia kucheki anauliza uko wapi leo nakuja kupajua kwako!
Bahati iliyojee! huyu demu ni mpya na nilikuwa shaomba game kama siku5 hivi nyuma hapohapo kitaa. nikamwambia aje ilikuwa midaa ya 10 jioni hivi akafika ikabidi anze kupika mboga ilikuwepo. humo na mle ninaye game ikakolea huyu nae yupo njiani anakuja. Kwenye saa1 kafika huku mtusi wangu yumo mageton.
Ikabidi nicheki na boda ampokee then ampeleke kwa mdada fln hivi ana saloon ya kike.
by saa3 huyu akatoka magetoni akapanda boda nikaweka mazingira sawa unyunyu kama wote. nikamwambia boda amlete. sikumpiga machine maana umbo la mnywaranda yule ndo lilibakia kichwani asa yeye mvuto hakuwa nao sana kama mtusi.
Nikawa na mlaumu tu namwambia wewe hadi upende wewe ndo uje? baada ya kugoma kabisa kumpiga pipe akatoka nje nikamwangalia tu badae akarudi tukalala asubh akaaga akaondoka nikampa 30k
ila nililaaniwa sana msg zaidi 17 naambiwa maneno ya laana tu aiseee hadi nilijutia
ChaiNgoja wengine tunyamaze tu maana tulishafanya matukio hadi shetani mwenyewe anashangaa kuwa hili hata yeye mwenyewe haelewi
Nawewe ni mupare ojii?usitutafute maneno