monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara.
Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com nikakutana na pc hp inauzwa kwa 300k nikaenda kwenye akaunti nikatoa laki 3 nikaenda kununua pc ya jamaa kupatana.Sikuwa na bahati nayo ile pc ilikua mbovu nikaja iuza tena kupatana kwa 200k.
Je pesa yako ya kwanza kuingiza ulinunua kitu gani?