Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habarini!

Aiseeee leo ni siku nyingine ila sio kama siku zingine hii ni siku maalumu ya watu wapendanao watu walio katika mapenzi acheni yale mapenzi ya Kirafiki au ya kindugu.

Tukiwa tunasubiri zawadi na wengine nahisi washapata tayari nataka tuambizane hapa ni kitu kipi alishakufanyia mpenzi wako katika siku kama ya leo ukajiona we wapekee zaidi kwake?

#HappyValentineDay[emoji3531]
 
Back
Top Bottom