Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

Habarini!

Aiseeee leo ni siku nyingine ila sio kama siku zingine hii ni siku maalumu ya watu wapendanao watu walio katika mapenzi acheni yale mapenzi ya Kirafiki au ya kindugu.

Tukiwa tunasubiri zawadi na wengine nahisi washapata tayari nataka tuambizane hapa ni kitu kipi alishakufanyia mpenzi wako katika siku kama ya leo ukajiona we wapekee zaidi kwake?

#HappyValentineDay[emoji3531]
Alinitambulisha kwa mwanaume wake mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini!

Aiseeee leo ni siku nyingine ila sio kama siku zingine hii ni siku maalumu ya watu wapendanao watu walio katika mapenzi acheni yale mapenzi ya Kirafiki au ya kindugu.

Tukiwa tunasubiri zawadi na wengine nahisi washapata tayari nataka tuambizane hapa ni kitu kipi alishakufanyia mpenzi wako katika siku kama ya leo ukajiona we wapekee zaidi kwake?

#HappyValentineDay[emoji3531]
Tulikuwa kwenye matatu tukielekea nyamagana tukanyanduane akaachia ushuzi hadi dereva na abiria wote wakashuka sikuwahi kumuona mpaka na kesho
 
Back
Top Bottom