Sisi wengine tuendelee kusifu n akuabudu
Kwa asilimia kubwa mnoEwaaaa kanisa linatutegemea
Aiseee Mungu atakupa Mtoto?[emoji23][emoji23][emoji23]Akitupenda Mungu inatosha si ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahio ulikaa Tumboni miezi 9 peke ako na Duniani unataka ufe Peke ako[emoji23][emoji23]Bora uzima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hutakiwi[emoji23]Kanieka blacklist....
Am feeling so special[emoji16][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ya valentine kwanza yameletwa na ccm
Ehh!kakaa[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahio ulikaa Tumboni miezi 9 peke ako na Duniani unataka ufe Peke ako[emoji23][emoji23]
Kweli kabisa..Utanogaaaa
Ila upendwe sasa sio beautiful thing kumbe unaforce[emoji23]Kweli kabisa..
Love is a beautiful thing .
Ushawahi wekwa hata kwenye wallpaper tuanzie hapo?Nasubiri kuwekwa kwenye billboard
Hahaha [emoji28][emoji28]Ila upendwe sasa sio beautiful thing kumbe unaforce[emoji23]
Wallpapers i supposse, been there done that.Ushawahi wekwa hata kwenye wallpaper tuanzie hapo?
Sa utaacha uende wapi kwahio utakua unampa kila mtu?[emoji849][emoji849]Hahaha [emoji28][emoji28]
Unaforce vipi kimfano ?
Kama unaona mtu hakupendi unaachana naye .
Hapana humpi kila mtu ..Sa utaacha uende wapi kwahio utakua unampa kila mtu?[emoji849][emoji849]
Ukome[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha valentine ya mwaka 2020, Nilijitutumua nikamuandikia ujumbe babe nikamuandalia dinner.
Kilichotokea dinner asiile, kwenye simu yake amemuwish babe wake alafu akamchunia, mimi io siku nikaninuniwa.
Nikapigwa na kitu kizito kichwani
😅 Nilishakoma..Ukome[emoji23][emoji23][emoji23]
Mekumiss ila sio kwa cheko hilooo shogareeHahaaaaa