Kitu gani ulishawai poteza au ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa...

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Kupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar.

Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani kubwa, thamani sio lazima iwe ya kifedha, inaweza tu hicho kitu meant a lot to you in one way or another.

So kitu gani ulishawai poteza/ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa
 
My first love alitoroshwaga na pedeshee moja hivi ..cjawah muona mpaka leo!
Alikuwa mtamu sana mtoto yule,,,pedeshee *****!
Wacha nitunishe wallet yangu kwa hasira huenda nikaja pata mnyonge wa kumlipizia [emoji41] [emoji41]
 
Sintosahau yule dada aliponitoa uvulana wangu. Kwakunilazimisha nimpige PIPE,wakati sijawahi kabisa..anway sasa nimekuwa Gentlemen hainaga ushemeji.......
 
Niliibiwa electronics zote ila ilioniuma ni laptop ambayo ilikuwa na picha zangu za umri kati ya 20-30yrs. Picha nyingi sana zikiwakilisha kumbukumbu za sehemu muhimu sana katika maisha yangu!
 
Nilitapeliwaga Elfu 70 nikija form one zamani na wahuni wa mjini. Loh hadi sasa sijasahau.
 
Simu. Niliibiwa stendi Arusha ikiwa ni jioni ya saa moja, halafu kesho yake asubuhi natakiwa niende Dar kuanza kazi ya field na hapo hapo kuna mambo ya kupanga wakati nikiwa safarini. Sasa sikuwa nimerekodi namba za watu wangu popote na pia ndani ya simu nilikuwa nimehifadhi mambo mengi ya kikazi.... Iliniuma sana.
 
Toshiba mupyaa Na S4 galaxy kwa sie watu wa mambo ya Techs lazima ujute kupoteza vitu hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…