Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Nauli, halafu ndo iliokua imebakia hio hio tu mfukoni.
Ikabidi nianze mdogo mdogo, posta mpaka mbezi beach.
Ikabidi nianze mdogo mdogo, posta mpaka mbezi beach.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nilipotezewa na jamaa yangu nikabaki na charger yake/kitabu cha maelezo na risiti yaani huwa naviona inaniuma sana maana niliinunua laki 5 kipindi hicho.Nilipambana kununua PC ikaibiwa na mtu niliyekuwa naishi naye
Duhh ikawajeNilipambana kununua PC ikaibiwa na mtu niliyekuwa naishi naye
Wapi mkuu sio yule jamaa alikuja kuuza chuga kalolen pale kwa bei ya buku kumi.kwa ticha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu na laptop
Tupe story ilivyokuwaNilitapeliwaga Elfu 70 nikija form one zamani na wahuni wa mjini. Loh hadi sasa sijasahau.
Pole ikawaje mkuuSimu. Niliibiwa stendi Arusha ikiwa ni jioni ya saa moja, halafu kesho yake asubuhi natakiwa niende Dar kuanza kazi ya field na hapo hapo kuna mambo ya kupanga wakati nikiwa safarini. Sasa sikuwa nimerekodi namba za watu wangu popote na pia ndani ya simu nilikuwa nimehifadhi mambo mengi ya kikazi.... Iliniuma sana.
Pole mkuu ulfika saa ngapi si ungeomba usaidiweNauli, halafu ndo iliokua imebakia hio hio tu mfukoni.
Ikabidi nianze mdogo mdogo, posta mpaka mbezi beach.
Pole sana mkuuNiliwahi kuibiwa begi la laptop lenye laptop,kamera,bahasha yenye vyeti vyote vya taaluma kuanzia Sekondari hadi chuo kikuu,cheti cha kuzaliwa,hati ya kiwanja n.k, wallet na hela zake kidogo pamoja na vitambulisho vyote na kadi za benki. Huwa naamini ningekuwa na moyo mwepesi ningekufa kwa mstuko siku ile. Niliumia sana ila Mungu ni Mkuu daima niliibiwa January 2014 nikapigiwa simu na polisi niende nikavifate central police mwezi November mwaka huohuo.
Enhe ninkweli atKuibiwa kusikie tu kwa jirani...nilibiwa simu ya kichina niliyonunua 70,000 mwaka 2009...kipindi hicho ndo kwanza zinaingia walikata nyavu dirisha wakasepa nayo..niliumia sana aisee...
Mara ya pili wamevunja home wakabeba flat screen samsung 32" na laptop ya samsung pia hiyo ilikuwa Jan 1 2015...siku hiyo nilipagawa sana hata sikulala....
2016..wakaja tena wakabeba..flat TLC 32" na laptop pb....safar hii sikupagawa nikachukulia kama changamoto tu...
Ila nimekoma kununua flatsecreen za gharama...
Mwaka 2016 nilifika Mwanza nikakaribishwa na wazee wa kazi....waliniibia simu 2, laptop,vyeti vyote, mkufu wa dhahabu, mapochi na kila kitu....waliniachia nguo tuu...niliumia sana ilikuwa karibisha mgeniKupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar.
Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani kubwa, thamani sio lazima iwe ya kifedha, inaweza tu hicho kitu meant a lot to you in one way or another.
So kitu gani ulishawai poteza/ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa
Kuku wanguKupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar.
Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani kubwa, thamani sio lazima iwe ya kifedha, inaweza tu hicho kitu meant a lot to you in one way or another.
So kitu gani ulishawai poteza/ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa
Dah! Huwa naikumbuka gari yangu moja niliyoinunua kwa Milioni ishirini na mbili, na ndani ya mwezi mmoja ikawa Scrapper! It was fucken so painful. Unajua milioni 22 ni sawa na tofali elfu ishirini... Hizo pesa ningekuwa nimeshajengea hata shule. Since then, niliuza magari yoote yaliyobakia sasa ni mwendo wa dala dala tu!Kupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar.
Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani kubwa, thamani sio lazima iwe ya kifedha, inaweza tu hicho kitu meant a lot to you in one way or another.
So kitu gani ulishawai poteza/ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa
Asante sana ndugu,Mungu ni mwema!Pole sana mkuu