Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Kipi kilichokuchekesha hapo,halaf jitahidi kuandika vyema au ulikuwa unavuka barabara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm jinga sana aisee. Hua nacheka kwenye matukio siriaz.
Hasa kanisani wakati wa matangazo watu wanaongea errors kishenzi.

Eti samahani mwenyekiti "Nina jambo mboja kesho nitacherewa kido, maana niko bide....
Ahahahahah eheee kwenye matukio huwa kuna vituko sana sasa hapo kujizuia kucheka ni juhudi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weweee Davinc acha chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda anajua matango ndio madodoki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko tifauti kidogo. Nikiona hili jambo ni la kudharirisha sicheki ingwa nilitakiwa instantly. Mfano alikuja mgeni wale wa kutoka kijijini kbsaa akataka awekewe radio one ktk TV. Hapo tuko sebuleni tumejaa watu wakacheka sana isipikuwa mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],lakin si inawezekana kuweka au siku hizi wametoa inakuwa inasikika radio tu sio live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nicheke kwanza😀😀😀😀😀

Kuna siku moja tulikuwa tunapiga story na washkaji zangu (mmoja kati yao ni msukuma wa kasamwa huko). Tulikuwa tunapiga story kuhusu baadi ya watu wanavyoishi maisha mazuri huku wengine wakiishi maisha magumu. Sasa kuna mmoja akaanza kuzungumzia kuhusu watu kwenda casino, ndipo yule msukuma akasema "hivi casino si linakuwaga la mduara lina mirija watu wanavuta". Tukawa hatujamwelewa. Ikabidi aendelee "si kuna wakati makonda alikataza watu wasitumie" akazidi kutuvuruga. Ikabidi aelezee kupitia video flani ya joti ndo tukajua kuwa alikuwa anazungumzia shisha. Aisee tulicheka sana.
Msukuma huyu wa kasamwa alikuwa anadhani casino ndo shisha. Wasukuma bhan😃😃😃😃😃
 
Ahahahhahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma wamezidi ushamba [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…