Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #41
Maneno gani yalikuchekesha siku zile wananihisi mim rayyoungr ,yote hayo ni chuki tu bwana wangu wasubirii sanaa bado nalima lile shamba la G ni kubwa mno kulimaliza sio leoMimi nilicheka sana juzi kati wakati Mama Sabrina akiwapa watu vipande vyao kisa wana mhisi anatumia ID ya....
Sent using Jamii Forums mobile app