Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #61
Ungemuambia agooglekuna siku bishoo mmoja aliuza maana ya TBT nilishangaa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna nyuzi humu zinachekesha mnoo siku hizi hata hazipo sanaKuna uzi huku wa siku nyingi kweli ilikua kuhusu kuongea kilugha. Sasa kuna Mnyakyusa akaelezea story yake kiwa shuleni kwao waliwekewa bango la speak Swahili ukiongea Kinyakyusa tu unavalishwa bango. Akapatwa na chafya kalii akaipiga ile ejooooo kwa bahati mbaya. Yani nikikumbukaga ile comment nacheka tu.
Napendaga kucheka sana nikiwa na rafiki zangu hasa nikiwa nakunywa. Yani rafiki yangu anaweza akawa ananisema mimi nakufa kwa kicheko inabidi na yeye aahirishe aanze kucheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku binti yangu alitembelewa na ndugu zake toka kijijini. Walishangaa kumkuta ana nywele ndefu had mgongoni (alikuwa ameshonea weaving). Wakashangaa sana. Wakasema he! Kumbe mjini kuna raha hivi! Had nywele zinabadilika! Umekuwa kama mzungu. Mmoja wao akasema "sirudi tena kijijini. Nataka nibaki mjini ili niwe na nywele ndefu kama zako!". Walikuwa wakiongea hivi huku wanazishika shika. Nilicheka sana (japo nilijifanya sihusiki kwenye mazungumzo yao). Sikufikiria kama kizazi hiki kuna ambae hajui kuhusu mawigi na weaving
AtazipataMsalimie Binti yako Mkuu.
Umetunga ama?mie mwanzo nilivyopanda ndege,imefika wakati wa msosi tukapewa wote,Becky alivyo mshamba nikala haraka haraka nilivyomaliza nikamsimamisha muhudumu wa ndege nataka nyongeza ya chakula hahahaaa Mhudumu akaniambie nimpe dakika mbili atarudi..sikumuona tena,naona aliona huyu mluga typical hahaaaaaaaa...nikikumbuka nacheka sana 😀😀😀😀,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi kuna siku ninatoka na mshua tunaenda church!
Ilinyesha mvua sasa kukawa na matope ile navuka mtaro nikateleza nikajikuta nimeka chini kwenye tope!!
Mzee akaniambia rudi nyumbani ukabadili suruali!!
Ile narudi home nikasikia kishindoo tiiiiii!
Mzee naye aliteleza kwa kweli nilishindwa kuvumilia kicheko![emoji16]
Mzee naye alicheka balaa tunarudi home bi Mkubwa anadhani tulivamiwa
Lazima ucheke aiseeniliwahi kumwambia dereva mwenzangu usipak gari hapo panatitia na kuna upepo mkali unakatiza, ilikuwa isaka, akanijibu kamfundishe baba yako nimeanza kuendesha we unanyonya,, dakika mbili nyingi chombo ikabetuliwa na upepo yaani inaanguka taratibu slow motion huku jamaa kashika kichwa anaangalia semi inamfuata mpaka tukamuwah kumvuta, aisee baada ya kumuokoa nilicheka mpaka tumbo iliuma siku nzima, hasa majibu aliyonijibu dakika kadhaa zilizozipita na jinsi alivyokoga vumbi baada ya chombo kupinduka.
Hahahahaaaaa hii hata Mimi nimechekaMajuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.
Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
Nimecheka hapa nimeimagine ambavyo mnachekana na mzeeMi kuna siku ninatoka na mshua tunaenda church!
Ilinyesha mvua sasa kukawa na matope ile navuka mtaro nikateleza nikajikuta nimeka chini kwenye tope!!
Mzee akaniambia rudi nyumbani ukabadili suruali!!
Ile narudi home nikasikia kishindoo tiiiiii!
Mzee naye aliteleza kwa kweli nilishindwa kuvumilia kicheko![emoji16]
Mzee naye alicheka balaa tunarudi home bi Mkubwa anadhani tulivamiwa