Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi navyopenda kucheka ungechoka mbonaNachekaga, wakati mwingine inabidi kumpa kampani, ingawa kuna muda najulikana na ect.
Watu nao wapuuzi kweli,,yaan jamii zetu unavunjwa moyo ukiwa mdogo ,elimu hiziNikiwa mdogo nilikuwa nikicheka watu wananiambia nacheka vibaya, kwa hiyo nikawa inabidi nitafute pozi la kucheka, baadae nikapunguza kucheka ikawa ni kutabasamu tu.
Watu nao wapuuzi kweli,,yaan jamii zetu unavunjwa moyo ukiwa mdogo ,elimu hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umecheka mkuu.Hahaha, ndo zetu.
Naona umecheka mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwny kipindi cha jamaa anaitwa kuchere nadhani wa ETV jamaa alimuuliza mpita njia neno MUBASHARA maana yake ni nini?
Mchizi akajibu ni"KAMA CHAKULA FLANI KITAMU KITAMU HIVI",hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.
Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
Hahahahahaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chai aisee.Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
😂😂😂😂😂😂 unataka kumeza JF eeeh? 😂😂😂😂Siku moja tulikuwa kwenye treni tunatoka kigoma,sasa tumekaa hivi na group letu,wengine wamesimama kuna jamaa mmoja akpiga miayo yaan akapanua mdomo halaf hakutoa sauti ,kuna jamaa mmoja akasema kwa sauti "Ona ona huku anamsonta yule jamaa ,halaf akamuambia unataka kumeza treni kwa sauti kubwa ,watu wote waligeuka waone nani anataka kumeza treni lile behewa tulicheka jamani
Sent using Jamii Forums mobile app