Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Siku moja tulikuwa kwenye treni tunatoka kigoma,sasa tumekaa hivi na group letu,wengine wamesimama kuna jamaa mmoja akpiga miayo yaan akapanua mdomo halaf hakutoa sauti ,kuna jamaa mmoja akasema kwa sauti "Ona ona huku anamsonta yule jamaa ,halaf akamuambia unataka kumeza treni kwa sauti kubwa ,watu wote waligeuka waone nani anataka kumeza treni lile behewa tulicheka jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja ilikua ni ibada ya Idd kama kawaida wanyapiaji hawakosekani na siku hiyo kulikuwa na ubwabwa pale msikitini basi jamaa flani akavaa kanzu yake safi kabisa akatimba msikitini.
Kumbe kanzu yake ni ya muda mrefu sana sasa wakati anakaa kucha ikatoboa bila yeye kujua na ulipofika ule muda wa kuinama na kuinuka kanzu ikazidi kuachia na ndani hakuvaa kitu

Aliekuwa nyuma yake akataka kumstua bila kuvuruga wengine basi kila jamaa akiinama wa nyuma yake anamgusa pale kwenye ufa wa mchaniko,jamaa akaona mbona kila akiinama anaguswa Pumbu,kila akiinama anaguswa pumbu sasa yeye hakujua ila akahisi ndio ibada nae akanza kumchoma yule wa mbele yake kila akiguswa nae anagusa wa mbele
E bana eeh si akagusa eneo lisilo takiwa Hahaaa du kilichofuata ni kukatisha ibada mana jamaa alichezea nazi za kutosha na ile kanzu yake ikazidi kuchanika......
Aisee ubwabwa ukaingia nyongo siku hiyo
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja tulikuwa kwenye treni tunatoka kigoma,sasa tumekaa hivi na group letu,wengine wamesimama kuna jamaa mmoja akpiga miayo yaan akapanua mdomo halaf hakutoa sauti ,kuna jamaa mmoja akasema kwa sauti "Ona ona huku anamsonta yule jamaa ,halaf akamuambia unataka kumeza treni kwa sauti kubwa ,watu wote waligeuka waone nani anataka kumeza treni lile behewa tulicheka jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂 unataka kumeza JF eeeh? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom