Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbeya ushirika ndani ndani mkuu.. kamba kazi yake nini mkuuu tuanzie hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dr na mii naombea sana hiyo addiction ibaki tuu kwako...
Bado una hitajika humu πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
Hapana aisee. JF ina umbea umbea fulani amazing. Ina mabishano yanayofikirisha. Ina upuuzi wa kipuuzi usiokwepeka..

Sasa utu uzima hauhitaji tena umbea. Hauhitaji tena upuuzi. Ndo ile unakuwa mtu mzimaa wanakuita mzee mpuuzi. Aaaghhh qumamae
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š Bado sana mda wa kutoka... Maana kuna rika flan ambalo linategemea maoni na mawazo kutoka kwako hivo wee ni kujiepusha na hayo majukwaa unayoona yana mambo ya ajabu Dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…