Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Mbona mimi sana tuuu humu πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna ni nadra sana..
Kuna uzi flan hvi walikua wanakutafuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu ukaputa na like tuu hata ukushusha commentπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈImekuwa kama dozi baada ya kuamka na kabla ya kuuchapa
Tunafanya sikatai ila kuna nyie wa kama dozi daah mtengwe.... ,πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wee jamaa mbona comment za kuhusu nyeto huwa unajibu kwa vibe sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Š
Uwanja wa nyumbani huu naona kama mnanisema nikitoka kitaa naona pisi hatare tatizo kuzisemesha watu wengi kitaa ndio uwa naenda kulipiza kwenye nyero
 
Haaaaa hiyo noma,mi mwenyewe kichwa ngumu ila nikawaza nipo ugenini lazima niwe mpole..nikakaza!
 
Uwanja wa nyumbani huu naona kama mnanisema nikitoka kitaa naona pisi hatare tatizo kuzisemesha watu wengi kitaa ndio uwa naenda kulipiza kwenye nyero
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ety uwanja wa nyumbani....
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haaaaa hiyo noma,mi mwenyewe kichwa ngumu ila nikawaza nipo ugenini lazima niwe mpole..nikakaza!
Ungegusa tuu... Dadek zake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sa hvi ungekua unasema mengine
PINGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…