Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Hata glass zake unapewa classic yan Wine magoli sana sema haina povu alafu huwezi piga gudugudu ina unywaji wake fulani hivi

Wine magoli sana sema haina povu alafu huwezi piga gudugudu ina unywaji wake fulani hivi πŸ˜„

Ungegusa tuu... Dadek zake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sa hvi ungekua unasema mengine
PINGU
🀣🀣🀣🀣hamna mi mwenyewe kitambo san yan machale kama yote,wine ni classic hata glass unapewa classic,nilitimba pale G7 kifuru nikaagiza drosdty hof nikapewa kwenye zile glass ndefu hivi nikagonga mdogomdogo,hata kama ni mshamba ila nilii-enjoy,ntakuja siku nyingine hapo daslama...ila mazee hela nzuri...japokuwa haiwezi kukupa kila kitu, uhai na Nini,ila hela ni muhimu tuwe nayo no matter what...!!!
 
Kingine.
On a very serious note.
Nimeshindwa kuacha kutafuna mchele…. Nishatishiwa sana kwamba nitakuja kupata appendex, ila sijawahi kusikia.
πŸ˜”πŸ˜” kuna mchele unaitwa Korie ni mlaini, basi naweza tafuna mwingiii.

Nikajikataza kuununua. Nikahamia magugu rice, wenyewe ni mgumu kutafuna mpk uloweke.

Natokaje? πŸ˜’
Hiyo ni iron deficiency inakufanya unacrave vitu Kama hivyo mchele,udongo na vitakataka vingine.kunywa dose ya FeFo, au nenda hospital kwa ushauri zaidi.
 
Huku gharama ni nafuu sana alafu una wala hadi masta wa mambele huko fikiria leo nimemla nickminaj kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizi akili hizi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Captain wa hovyo wewe kwa namna hiyo captain kuja kukaa na mtu ni ngumu sana maana raha unajipa mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi akili hizi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Captain wa hovyo wewe kwa namna hiyo captain kuja kukaa na mtu ni ngumu sana maana raha unajipa mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ucaptain upo pale pale ila kuna mda huduma ikiwa mbali unajisave mwenyewe
 
Back
Top Bottom