Win or die playing😂🙌Mbona siku hizi ni kama tags zangu hazifanyi kazi...
Yani naona sehemu mtu amenitag lakin sipati notification
Ngoja nitalifuatilia🔥
Magemu kuacha watuue tuu 😃😃😃
Tukutane baadae Fainal
Wewe sasa tunaongea lugha moja kwenye kupiga deo 😹😹😹Kupiga chabo aisee yaani napata stimu sana kuchungulia watu wakidinyana.
Mimi ni mpira na mission games ni GTA na PUBG kwa mbaliGame la mpira huwa lipo addictive sana, ukiweka zako ligi unaweza cheza siku nzima, mi huwa napenda kucheza Fifa na mortal kombat ila ya misheni huwa yananishinda nilijaribu kucheza far cry 2 nikashindwa nikaweka pembeni 😅
Kumbe na wewe unapenda chabooo aisee mie hii ni addiction kubwa sana kuliko ata kula mbususu mwenyeweWewe sasa tunaongea lugha moja kwenye kupiga deo 😹😹😹
😃😃 Nikumbushe umesema Nini kabla sijaenda kusomaNishasema kwenye comment ya #107
ndio inatumika kufanyia nnUsije ukanasa tembea na iodine
Hiyo na 2 na Mimi nipo hivyo🙌😂1.Kuongea mwenyewe kichwani ( siyo kichaa )😅 ni kama vile mawazo ila yanakuwa mfumo wa mazungumzo
2. Ku google waigizaji wa series/movie pale inapoisha
3. Kuangalia Movies/series na WWE
Movies na series, ku google waigizaji baada ya kumaliza movie au series na kuongea mwenyewe kichwani😃😃 Nikumbushe umesema Nini kabla sijaenda kusoma
Kazi kazi 😃Win or die playing😂🙌
Nitake radhi mdogo wangu!Unauza?
Njoo nikununulie 😎au sio!
Kuacha mirinda nyeusi kila siku ni mpaka nipatwe na kisukari
we uza tu kwan si yako kila mtu ana haki na mwili wakeNitake radhi mdogo wangu!
Kuna vitu vinatia kinyaa hata kujifananisha navyo!!we uza tu kwan si yako kila mtu ana haki na mwili wake
Parish mapepo 😹😹Kumbe na wewe unapenda chabooo aisee mie hii ni addiction kubwa sana kuliko ata kula mbususu mwenyewe
Ghorofa hamna hamna uwe na milion 500. Mie budget ya ugali maharage mpaka niku e pumbuz, mshahara ukifika katikati ya mwezi umekata na ghafla unaumwa malariaAisee
Mbona nishasema MkuuSema tu Mimi nasoma sitakusemea
Basi leo nimejua kuna siku niliandika post kwa njia ya utani ukajibu serious sana nami nikakasirika sema baada ya siku kadhaa I let it go kwasababu nina roho hiyo ya kuachilia au to let it go. Mimi pia nilishawahi kuvuta bangi na i smoke from time to time ila i wanna let it go kwasababu hapa nilipo tu akili yangu ni kama nimevuta bangi so huwa nikivuta inakuwa ni as twice as this, can you imagine katika uvutaji wangu nilishawahi kuwaza mimi general na ninameamuru vita??Hi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?