kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
...kijiti, hiba, kuku, mmea, mjani, cumbolo, pyaka, legalize nk.Skanka ndiyo nini?
Hio ya pili hio ππ1.Kuongea mwenyewe kichwani ( siyo kichaa )π ni kama vile mawazo ila yanakuwa mfumo wa mazungumzo
2. Ku google waigizaji wa series/movie pale inapoisha
3. Kuangalia Movies/series na WWE
Na hiyo ni athari mojawapo kuona kwamba kila unachojibu kipo sawaNachovuta hakina impact yoyote kwenye majibu yangu zaidi ya kunifanya niwe na appetite kali tu
Cheza resident evil 4 ni π₯ π₯, lipo lililo hakiwa.Game la mpira huwa lipo addictive sana, ukiweka zako ligi unaweza cheza siku nzima, mi huwa napenda kucheza Fifa na mortal kombat ila ya misheni huwa yananishinda nilijaribu kucheza far cry 2 nikashindwa nikaweka pembeni π
Mimi nataka nimjengee baba yako mnara wa heshima, pale hospitali alipowalaza wale ndugu zenu waliokuja kuwatembeleaBeerπ» ijengewe sanamu pale posta mazeee
Unawezaje embu nipe mbinuππHiyo naweza kuacha moja kwa moja nikitaka π
Aah mkuu kawaida kabisa alafu mbona me Rastafarian kabisa πππHii addiction yangu kwa mtu mkubwa kama wewe hukutakiwa kuijua
Commander in chief we bow down sincerely hahahah mikono for lifeMkono!
Once in a while....