Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

πŸ˜… , Hivi kwa nini mdomo huwa unaumba kwenye mambo mabaya tu ila nikisema ntakuja kununua kampuni ya google ipo siku mdomo haumbi hivyo πŸ€”
Shetani huwa yupo kazini kuhakikisha mabaya unayojiwazia au kujinenea anakutimizia, ndiyo maana si vyema kumtamkia mtu yeyote maneno mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…