ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
kulala mchanaHi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?
πππKusimamisha usiku kucha
Basi itakuwa kilichomfanya anikatae-ge ni bangi sio akili zake mwenyewe.Kawaida tu mbona mwananguπ
Hi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?
Nazisaka...hapa nilishafukuzwa na baba/mama mwenye nyumba zisizopungua 15 kwa sababu ya hiyo tabiaKwahiyo Mkuu unazitafuta kabisa hizo fursa au unazitengeneza?
Hapana π€ , ngoja niwe msomaji wa comments kama yako nimecheka sanaSema tu..
No one is judging π
Juzi nilipata Moja hivi inaitwa purple weed πMzee wa shada π€£
Ndio kabisaBado unaoikaga mkuu...??
Ya revola au mlenda vuguvuguBakari Nondo
View attachment 3451372
Hahah, itakuwa na wewe ndio kazi zako niniπHapana π€ , ngoja niwe msomaji wa comments kama yako nimecheka sana
Alafu wahiyo hua wakiingia penzini wanatuliaga sana mazee...Noma sana mzee!
Nasikia watoto wa hivi kunako ni burdani sanaπ
Hapana aisee πππ nikisema yangu utacheka sanaHahah, itakuwa na wewe ndio kazi zako niniπ
Hahaha bs ndio maana hio kichwa inaenda resi aiseJuzi nilipata Moja hivi inaitwa purple weed π
Nasikia pia, hawana mambo mengi kwenye mahusiano. Hata kugonganisha magari hawana mda huo, gang girls but good girls!!Alafu wahiyo hua wakiingia penzini wanatuliaga sana mazee...
ππHahaha bs ndio maana hio kichwa inaenda resi aise
Ninong'oneze basi ChicaπHapana aisee πππ nikisema yangu utacheka sana
Naenda Nje nitarudi πNinong'oneze basi Chicaπ
sema sitacheka hata kidogo π€£π€£Hapana aisee πππ nikisema yangu utacheka sana
πππ baba jeni Bayiii bayiiisema sitacheka hata kidogo π€£π€£