DIGARAH Madman
Member
- Apr 4, 2025
- 44
- 50
Kwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujutia?
Fake friends... Fake lovers... True enemiesKwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujutia?
Wagombea waliotenwa CCM na kujiuzulu kwa Pole poleKwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujutia?
Kadi ya kijani.Kwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujutia?
Miongoni mwa vitu ambavyo nimewahi kuvipoteza na sijawahi jutia ni unafiki, uwoga na mapenzi ya kweliWe una taka kujua upande wetu vipi upande wako
ikUwaje DadaanguFake friends
liKuaje bro... Mwanamke.
Noma sanaFake friends... Fake lovers... True enemies
Kwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujuti
Itakuwa kuna shida mahali mkuu. Hauwezi kuwa vyote unajutiaDaaah..... Hii ngumu kila kitu ninachopoteza lazima nijutiee...
Shem kama shemMarafiki
Wapenzi
Ndugu