Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Bro unadhani angekuwa mchawi watu wangebaki pale...zile ni magic tricks.. wanachofanya ni tricks tu si kama watu wa mazingaombwe wanaokuja shule za primary. Ushawahi waona chuo...no, why coz watu wazima wanaelimu can't be lied tu.
 
Ndege ilivyo nzito vile halafu eti inapaa angani hakuna sayansi sijui physics yoyote pale. Wazungu wachawi sana mama yake.
Bro...u need education. Soma vitu uelewe, Kuna watu bongo wanaelewa engineering ya ndege watafute hata. Acha ushamba
 
Hivi unajua hata hao Matajiri Kuwa wengi wao wanatumia nguvu za Giza kama kulinda mali zao kuzindika nk acha ubishi mkuu hivi vitu vipo,,

sema hivi vitu vipo kiroho zaidi na madhara yake huonekana Hadi kimwili ni ngumu sana kumwaminisha mtu vitu vya kiroho unless labda ukutane nacho kabisa wewe mwenyewe ndo aumini siyo uhadithiwe,, mm Nina shuhuda Kuna ndugu yangu alichezewa michezo kama hii ya kiuchwai wakakimbiza ma hospital makubwa lakin tatzo lake halikuisha the end of day akambiwa hospital tumeshindwa mpelekeni kwenye Imani zenu za kishirikina (Uganga wa Kienyeji) ndo akapata nafuu wakati huo gharama kubwa imetumika,,

Anyway Kila mtu ana kile anacho kiamini lakin haya maswala ya kiuchwai yapo gizani sana ni ngumu kuyamini kama Bado haijakutokea na ni rahisi kubeza, ila mm nakuombea hata kama ikikukutokea isikuletee matatzo.
 
Mimi nilikua nasemaga hivyo kama wewe! Ipo siku utaamini uchawi upo Leo ni tarehe 3 mwezi wa 8 andika mahali Ili siku ukikutana nacho ukumbuke!

Ila usije kusingizia hallucinations au maruweruwe
 
Mimi nilikua nasemaga hivyo kama wewe! Ipo siku utaamini uchawi upo Leo ni tarehe 3 mwezi wa 8 andika mahali Ili siku ukikutana nacho ukumbuke!

Ila usije kusingizia hallucinations au maruweruwe
Kuna uchawi mmoja huo wanawake wanazitumia Mbegu za mwanaume kinachofuata ni matezo, si unajua Mbegu zako ni sehemu ya nguvu zako namaanisha power zako zipo kwenye shahawa zako zile unazozimwaga kwenye condom

Acha nisifunguke sana
 
It's not real...mbona inawatokea watu wachache na watu wasio na elimu na wenye maisha duni..mbona watu wanazaliwa mpaka kufa na miaka zaidi ya 50 wasione hivi vitu. Au uchawi unachagua wajinga tu
Nilichogundua wewe Bado kijana mdogo sana huna unalo lielewa isipokua umemezeshwa na maneno kidogo ya sayansi ndo unakuja kupinga hapa!!! Nakushauri ni heri kukaa kmya na shukuru kile unachopitia ila usiombe hivi vitu vikutokee kwa madhara,,,,,,,, Bahati nzuri au Mbaya kwa aina ya wapumbavu kama wewe huwa hayawatokeagi but thanks to your God kama haikutokei kuliko kuja kubedha visa vya watu hapa
 
Huwezi jua behind ya hayo mafanikio Kuna ?? Mfano mzuri fuatilia haya maswala ya Madini ujionee!! Hivi vitu unavipinga kwa sabab tu havijakutokea
 
Hallucinations kwa watu wote
Portugal Kuna siku watu 3000 waliona jua linacheza cheza na kutoa colourful signs. Jua lilicheza kweli? If yes why only 3000 ppo wa eneo Hilo wameona na jua lipo dunia nzima. If no? Then 3000 ppo can hallucinate. Kuna factors nyingi, mi na wewe tukitegemea kuona uchawi tutaona uchawi lakini tukiwa independent tukahojiwa baada ya tukio utaona tofauti ya maelezo. It proves ni hallucinations na sio reality. Leta hoja nyingine
 
Una ushahidi gani.
1. Kama uchawi ni utajiri we kuwa mchawi.
2. Kama waganga wangekuwa na uwezo kuliko madaktari mahospitali yasingejaa watu
Nipe ushahidi wa maana. Kukutokea wewe peke yako it means wewe ni chizi simple as that.. yaani mi nione mbuzi anapaa afu niseme hoo sijui hujaona so huwezi amini, huo ni ujinga. Leta hoja ya msingi
 
Mimi nilikua nasemaga hivyo kama wewe! Ipo siku utaamini uchawi upo Leo ni tarehe 3 mwezi wa 8 andika mahali Ili siku ukikutana nacho ukumbuke!

Ila usije kusingizia hallucinations au maruweruwe
🤣🤣🤣🤣Nina umri mkubwa tu na naweza kufa sijaona coz havipo..na wapo wanaokufa hawajaona. Kama umri wa kuona uchawi ni umri fulani utaje tuulize watu waliofika huo umri. Na kwa Nini uchawi uchague umri 🤣huu ni ujinga leta hoja ya kunishawishi
 
Kuna uchawi mmoja huo wanawake wanazitumia Mbegu za mwanaume kinachofuata ni matezo, si unajua Mbegu zako ni sehemu ya nguvu zako namaanisha power zako zipo kwenye shahawa zako zile unazozimwaga kwenye condom

Acha nisifunguke sana
Una ushahidi wa hicho kitu? Na mbegu zako sio nguvu zako hii Sayansi ni ya kwako hata mtoto wa la sita anakuzidi. Rudi shule usome energy ya mwili inatoka wapi naona umesomea cheti tu
 
🤣🤣🤣🤣Yanitokee mi nataka ukitaka Niloge wewe sawa. Mi nipo..., Ningekuwa nishalogwa mda tu kila siku nawaambia nilogeni kazi kutishana tu. Hamna kitu. Unasingizia umri, unajua umri wangu wewe. Nitajie umri wa kuona uchawi ni umri gani?
 
Huwezi jua behind ya hayo mafanikio Kuna ?? Mfano mzuri fuatilia haya maswala ya Madini ujionee!! Hivi vitu unavipinga kwa sabab tu havijakutokea
Biden ni rais wa marekani hatujamwona ila hatubishani...why vitu uvione peke yako tu..huo ni uchizi
 
Mwanzo nilisema Kuwa kwa Bahati Mbaya au Nzuri kwa aina ya wapumbavu kama wewe ni ngumu sana kukutana na vitu kama hivi lakin siku ukikutana nacho hutoleta ujinga wako hapa, mbaya zaidi hivi vitu vipo Rohoni zaidi au gizani n ngumu kuonekana kwa macho ya damu na nyama (physical appearance) huwez viona so mpaka uwe kiroho zaidi au ulimwengu mwingine ndo unaweza viona. Kwa mjibu wa kitabu Changu Cha Dini japokua hukiamini kinaniambia Kuwa Giza na nuru haviwez Kuwa pamoja, pia kinasema Kuwa vitu vya Rohoni na Mwili haviwez Kuwa pamoja japokua kwenye function vinaweza kutana maana mataokeo ya kiroho yanweza pelekea negative effect kimwili hivyo hivyo pia kiroho vece versa

Kwaiy hapa utabisha kwa sababu haijawai kukutokea na hivi vitu vinaweza kukutokea kwa aina mbili positive or negative, kwa upande negative ndo unaona mtu anarogwa au mtu ghafura anakufa pasipo na sababu ya maana,. Kwa positive itakutokea tu then it's disappear mfano kama hapo unaendesha gari unakutana nao hawakufanyi kitu,.

Nikushauri kitu Kuna baadhi ya Mambo ambayo ni Ngumu kuonekana kwa Binadamu Dunia Ina Mambo mengi sana na ni machache ambayo Binadamu anayajua sidhan hata Asilimia 25 imefika ambayo binadamua anaijua Duniani,, kama kweli wewe ni mtu ambaye huamini hivi vitu vya kiuchwai,,,,, Basi jaribu kwenda kiroho zaidi nakuhakikishia haya Mambo utakutana nayo
Hata huko Marekani wanakutana na Aliens usjie fikiri ni viumbe wa ajabu no ni haya majini tu kama Huku Africa tunayo kutana nayo.

Kuhusu utajiri wengi wanajipatia utajiri kupitia Imani za kishirikina mojawapo ni kama unavyo sikia Freemason pamoja na kutoa makafara ya ajabu Ili mtu apate utajiri
Note: siyo wote ila wengi wao ni aina hiyo
Sorry kwa maelezo mengi lakin pia huna unalojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…