hapana nilikua nasumbuliwa na kituHapa alimaanisha usipende kuwaeleza watu udhaifu/shida zako?
Ni kweli aisee!Kuchelewa kurud nyumbani, alikuwa anafinya masikio, Ni nani.... alikwambia... urudi usiku nyumbani.? Tabia ni kama ngozi aisee siku hiz nipo Huru ghetto narud usiku mshale unasoma AM. Night kali.
Kiukwel kutembea usiku sana sio jambo jema, hasa kama una drive Kuna mengi sana yana happen njiani. Assume umepata brake down. Au unakuta na na walio kazin.
Hahaaa kule kama umeenda na ustaarabu wako lazima utauacha tuHahahahahaha sisi boarding kwetu tulikuwa tunaita 'kufaitia' meaning 'fighting' for food [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana yake?"dunia hadaa ulimwengu shujaa"
Faiza natamani uwe Mkwe wangu.... Nipe mwanao nioe."dunia hadaa ulimwengu shujaa"
Yaan nahis mama yako na mama yang wana msimamo mmoja...tuwapende sana mama zetuUsipende kutembea usiku mwanangu bila sababu za msingi.Matukio kibao yamenikosa usiku, sitembei tena usiku bila sababu za kueleweka.